Love Song (Kiswahili)
Si queréis os la traduzco, pero el amor se entiende en todos los idiomas :)
Usiku wa leo uwe wangu
Laza kichwa kwenye mto wangu
Cheza usiku wa mbalamwezi
Pomzika
Mambo yote sawa
Mambo yote sawa
Nipende usiku wa leo
Nikumbatie usiniache oooh
Ficha vidole nyweleni mwangu
Hakuna matata
Mambo yote shwari
Mambo yote shwari
Ya kesho usijali
Hakuna ajuaye yajayo
Tuishi kwa siku hii
Hisia za milele
Hakuna Matata
Mambo yote shwari
Mambo yote shwari
No hay comentarios:
Publicar un comentario